Uvuaji wa samaki aina ya bluefin tuna unaongezeka kote nchini Japani. Baadhi ya mikoa inaelekea kufikia idadi yao ya kikomo cha kuvua samaki hao kwa kasi isiyo ya kawaida, na kuwaacha maafisa bila bud ...
Watu wengi wanaweza kuchagua samaki na chips kama chakula chao cha kufungashiwa kwenda kula badae. Hata hivyo, aina moja ya samaki hasa ya minofu huagizwa na asilimia kubwa ya watu karibia katika kila ...
Rhoda Mwende holds a parent catfish she uses to breed fingerlings, on her land in Kanyonga village, Mbeere, Kenya. TRF/Isaiah Esipisu MBEERE, Kenya (Thomson Reuters Foundation) – Wakulima katika ...
Wavuvi katika eneo la Pakistan la Balochistan wamempata samaki aina ya Ara karibu na mpaka wa maji wa nchi hiyo na Iran. Samaki hawa wa kipekee aina ya papa ni nadra sana kupatikana na wanakaribia ...
Kwa kufuatilia vipengele kama vile kalsiamu au shaba ndani ya tishu za samaki, alama ya kidigitali inaonyesha haswa samaki alikozaliwa, alikokula, na alikokuwa. Katika maabara, skana ya kushikilia kwa ...
Kwa miaka mingi taka inayotoka kwa samaki na viumbe vingine kwenye ziwa, imekuwa ikichafua mazingira na kusababisha samaki wengi kukosa hewa ya oxigeni hivyo kufariki na kusababisha hasara kubwa.Hata ...
Serikali ya Tanzania inafanya operesheni kabambe za kudhibiti uvuvi haramu pamoja na kukamata zana za uvuvi zisizotakiwa katika Ziwa Tanganyika. Kitoweo cha samaki na dagaa licha ya kuwa muhimu katika ...