Wakazi wa mji mkuu wa kibiashara nchini Tanzania wanauaga mwili wa rais Pombe Magufuli hii leo Abdalla Seif Dzungu and Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Reuters Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ...
Dunia yaomboleza kifo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli. Asha Juma and Dinah Gahamanyi Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, ametuma salamu za rambi rambi kwa Watu wa ...
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amefariki dunia Jumatano ya wiki hii akiwa na umri wa miaka 61, baada ya kuugua kwa muda mfupi kutokana na maradhi ya moyo aliyokuwa akisumbuliwa kwa zaidi ya ...
Nchini Tanzania, ni mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais wa awamu ya tano John Magufuli, kifo kilichotokea ghafla na kuleta mshtuko ndani na nje ya nchi. Kifo cha Magufuli, kilitangazwa na Makamu ...
Marehemu John Magufuli atakumbukwa kwa muda mrefu kwa pande zote mbili – uzuri na ubaya, anasema Mohammed Khelef kwenye ta'azia yake kwa kiongozi huyo wa Tanzania aliyetangazwa kufariki dunia hivi leo ...
President John Pombe Joseph Magufuli was buried on Friday (March 26, 2021). Almost everybody is saying good things about him, posthumously, albeit without a shortage of sadists who have no shame ...
Tanzania inaomboleza kifo cha rais wake John Pombe Magufuli kufuatia wiki kadhaa za masuali yaliokosa majibu juu ya afya yake. Magufuli amefariki dunia wakati kukiwa na hisia mseto juu sifa za uongozi ...
Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili huku akihaidi kuendeleza na kukuza ushirikiano na nchi rafiki pamoja na taasisi ...